Mimi ni Mtaalam katika Masuala ya Elimu,(Mkufunzi wa Vyuo vya Ualimu) Sayansi ya Viumbe(Biolojia) na Utawala- Bsc Ed,TEP na Masters ya Administration, Planning na Policy Studies.
Naomba mnikaribishe na kushare nanyi mambo yanayojenga jamii. Nitakuwa tayari kujibu au kuchangia hoja zitakazoletwa katika majukwaa husika, nami ntatoa zangu kwa ajili ya kueleimisha wengine katika nyanja yangu ya utaalamu. Nimejiita Mkurdi kwa kureflect kabila la wakurdi kule Irak ambalo liko kaskazini na walikuwa marginalised. Mimi natoka KASKAZINI mwa Tz kwenye kabila dogo kama la wakurdi.