Ni,karibisheni tushee Issues na Kushauriana, kushauri, Jamii, Serikali n.k

Mkurdi

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
18
Reaction score
9
Mimi ni Mtaalam katika Masuala ya Elimu,(Mkufunzi wa Vyuo vya Ualimu) Sayansi ya Viumbe(Biolojia) na Utawala- Bsc Ed,TEP na Masters ya Administration, Planning na Policy Studies.

Naomba mnikaribishe na kushare nanyi mambo yanayojenga jamii. Nitakuwa tayari kujibu au kuchangia hoja zitakazoletwa katika majukwaa husika, nami ntatoa zangu kwa ajili ya kueleimisha wengine katika nyanja yangu ya utaalamu. Nimejiita Mkurdi kwa kureflect kabila la wakurdi kule Irak ambalo liko kaskazini na walikuwa marginalised. Mimi natoka KASKAZINI mwa Tz kwenye kabila dogo kama la wakurdi.
 
Last edited by a moderator:
Pita ndani vp naweza kukuuliza chochote juu ya elimu ya wanyama wenye damu baridi waishio majini?
 

Naona ujio wako si wa verse moja..! karibu tubadilishane mawazo
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana, Ukitaka tuonane uwe unakuja basi kwenye kijiwe cha mabisiness na wajasiliamali tubadilishane mawazo. Sasa mbona uko mikono mitupu au ndo umeshamaliza zawadi zote? Si unajua mgeni njoo mwenyeji apone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…