Ni katika vitu gani inabidi umkaripie mpenzi wako na katika vitu gani inabidi usimkaripie?

Kweli kabisa mfano ukiwa na mke wa musoma wanatakaga uwachape tena sio kumfinya bali kichapo haswa na usipokua makini mtakuwa mnakunjiana ngumi mnazichapa wote
 
Katika vitu nachukia maishani ni mtu kunikaripia hapana hapo hasira zangu ataziona..... nashukuru Mungu kwa kunipa mume mpole, muelewa, mwenye heshima, mvumilivu na zaidi ananipenda kwa dhati.
 
Katika vitu nachukia maishani ni mtu kunikaripia hapana hapo hasira zangu ataziona..... nashukuru Mungu kwa kunipa mume mpole, muelewa, mwenye heshima, mvumilivu na zaidi ananipenda kwa dhati.
Nilikua sijaelewa mpaka nilipofika kwenye neno mvumilivu japo bado kunamashaka na ilo penzi la kimalaika kwamba kila kitu mnavumiliana kwamba hamjawahi kumchokozana hata akakuzabua au kukufinya, labda bila shaka atakua anakuadhibu kwa kukupelekea moto mkali na vibunda vya kutosha
 
Wapo wanawake mapenzi yao ni ya kukaripia yani anakukaripia kwamba amemisi show kwa wale wa mahusiano ya mbali mpaka analia
 
Ndio mnaweza kwenda bila kukalipiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…