Pre GE2025 Ni kauli ya Kishamba mno aliyotoa Chalamila, kuwa tarehe 24, majeshi yetu yote yatakuwa yanafanya usafi jijini!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Zamani kuwa Mkuu wa Mkoa ilikuwa ni lazima upelekwe kwemye kozi ya Uongozi kwanza ...... siku hizi wanaokotwa okotwa tu ndiyo hapo unapata hizi design za kina Chalamila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…