Kuna mtu ushawahi ckia ana ttz hili au unahs ni nnMwambie aonane na daktari haraka
Hizo ni Fungus MkuuHabari,kuna dogo hapa wa kiume kwenye boundary ya testis(mayai) zake na mapaja kuna kama layer au utandu ambao umefika mpk mapajani kidogo,
Na ukifika wakati fulan (joto) huwa kama kunatoa ungaunga mweusi...
Je ni kawaida au kuna tatizo?
Kuna mtu ushawahi ckia ana ttz hili au unahs ni nn
Itakuwa fungus aina Taenia Cruris (jock itch,), mwambie aende akapime hospitalHabari,kuna dogo hapa wa kiume kwenye boundary ya testis(mayai) zake na mapaja kuna kama layer au utandu ambao umefika mpk mapajani kidogo,
Na ukifika wakati fulan (joto) huwa kama kunatoa ungaunga mweusi...
Je ni kawaida au kuna tatizo?
Wewe ndio muhanga... Nenda hospital katibiwe hizo fungusHabari,kuna dogo hapa wa kiume kwenye boundary ya testis(mayai) zake na mapaja kuna kama layer au utandu ambao umefika mpk mapajani kidogo,
Na ukifika wakati fulan (joto) huwa kama kunatoa ungaunga mweusi...
Je ni kawaida au kuna tatizo?