Ni kawaida au???

Toboamambo

Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
26
Reaction score
5
mara kwa mara mtu mwenye jinsia ya kiume akimaliza punguza sumu katika mwili hufanya nini???????/

kwa uchunguzi wa haraka inaonekana wanatema mate eneo lililo mwagiwa sumu hiyo.
Je ni mazoeaaaaaaaa, au ndo vijimambo?
na akina dada wanafanya hivyo pia or na wao wanayo yakwao mpyaaaaaaaaaaa???????!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…