Ni kawaida kulala na mdada chumba kimoja na msifanye mapenzi?

"Nikilala naota, naota kama unaniita ila nafsi inasita mpenzi iko siku nitaitika"
 
Acha ubakaji kijana.Omba u-house kiungwana hadi magoti yake yatetemeke yenyewe.
 
Story ya hivi na ni kweli niliisikia mwaka jana mwezi wa 12...mpangaji jamaa ka force...sasa anatumia dawa za kufubaza virus vya UKIMWI alikua analia

Mkuu umejipanga na mwisho wako?nadhani kuna membgine hujatuambia...utakachovuna uje kutuambia
 
Ndio inawezekana
Isingewezekana ungepewa.

Imekaa kawaida.
Kwani umepungukiwa na nini katika vitu ulivyokuwa navyo baada ya kunyimwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…