Ni kero gani huwa unaipata wakati ukiwa kwenye ndege?

Ni kero gani huwa unaipata wakati ukiwa kwenye ndege?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Kuna ile tabia ya rubani kutokupunguza speed akikaribia kwenye bamz, mnajikuta nyote mnapaishwa juu [emoji23][emoji23]

Kuna ile tabia ya abiria waliokaa position za madirishani, muda wote huwashwa kufungua vioo, tunajikuta tumefika huku macho yamejaa machozi huku tunatiririsha mafua mepesi [emoji23][emoji23]

Ile tabia ya konda kuweka movie za kibongo inakera sana! Hasahasa zile movie za jini linatokea sebureni likiwa limevaa jezi ya yanga [emoji23][emoji23]

Wale abiria ambao humuomba rubani kila dakika asimamishe ndege wakachimbe dawa huwa wanakera sana, wanatuchelewesha kufika tunakokwenda[emoji23][emoji23]

Tabia ya rubani kuingia kwenye ndege huku amevaa boya! Ndege ikiwa angani, anafungua tank la mafuta, anatikisa kichwa, anarekebisha boya lake, anakamatia usukani tena! [emoji23][emoji23]

ONGEZEA KERO ZAKO [emoji23][emoji23]
willy-wo-pXnMG0FfSwA-unsplash.jpg
 
Kunipitisha kituo, unamwambua air hostess (konda) mie nashuka kigamboni, wao wanaenda kukushussha JKNIA😠, wakati ilikuwwa ni suala la kunitupia kamba nishuke kama komando au niruke na parachuti kama komando Arnold schwarznegger 😂🤣
 
Wauza mayai ya kuchemsha kuondolewa njiani!
 
Back
Top Bottom