Ni kero zipi zinazowakuta wafanyabiashara na wanunuzi?

Ni kero zipi zinazowakuta wafanyabiashara na wanunuzi?

Wafanyabiashara wanasumbuliwa na chuma ulete majitu yanaiba mtaji, kodi za frem na tra, watu kukopa na kuchikichia

Wanunuzi bei mfumuko, inshort hatuna hela mtukopee

Mkuu jina lako mtu akija kichwa kichwa anawaza skanka yani bomboclaat yoh yoh
Ukisema kuibiwa mtaji unamaanishaje? sijaelewa hapo, hii ya kodi ya frame na Tra naijua, upande wa kukopa na kuchikichia sijaelewa, ni kutolipa au kupotea?

kwenye bei mfumuko kwa wanunuzi nimeelewa.

Haha pole sana kuhusu jina Mheshimiwa.
 
Habarini jamani,

Naomba kujua kero mnazopata wafanya biashara na wanunuaji.

Nafanya utafiti tu ili niweze kujua shida kubwa hasa ni nini kwa pande zote mbili.

Kwa mwenye mda anaweza kucomment hapa.
Uaminifu bro

Kuaminiana kati ya mnunuzi na muuzaji ni tatizo.

Muuzaji hataki kumuamini mnunuzi na bidhaa yake kabla ya hela. Na mnunuzi hataki kumuamini muuzaji na hela yake kabla ya bidhaa. Ni MTANANGE!
 
Hii ndo limesababisha alibaba akapenya. Nilimsikiliza sana speech zake aligusia idea yake kutokea kwenye geniune/trust/assurance
 
Uaminifu bro

Kuaminiana kati ya mnunuzi na muuzaji ni tatizo.

Muuzaji hataki kumuamini mnunuzi na bidhaa yake kabla ya hela. Na mnunuzi hataki kumuamini muuzaji na hela yake kabla ya bidhaa. Ni MTANANGE!
Hii huwa ni changamoto kwasababu ya waliotangulia kupoteza vitu na pesa ndomana imekuwa hivi, na ni janga kubwa. Ahsante kwa huu mchango mzuri. Nimelipokea
 
Hii naitambua kuwa tatizo kubwa mno. nimelipokea hili
Is it applicable? Kwa afrika? Mana hapo unatakiwa utengeneze kitu kjnachoendana na akili za watu wenyew zilivyo. China alibaba watu wanapigwq sana siku hizi. Kesi y quality za bidhaa imekuwa siriaz sana sana, na kuna wachina ukitia mzigo huwapati tena kwenye maisha yako yaliyobakia dunia rangirangire hii
 
Yes kwa bongo it is well applicable, Italeta mvutano kidogo lakini hamna kinachoshindikana. kwa asilimia 70 itapokelewa ila wale asilimia 30 itachukua mda kuikubali
 
Back
Top Bottom