iptl skanska
Member
- Aug 19, 2024
- 10
- 19
UnTak kufungua app?Habarini jamani,
Naomba kujua kero mnazopata wafanya biashara na wanunuaji.
Nafanya utafiti tu ili niweze kujua shida kubwa hasa ni nini kwa pande zote mbili.
Kwa mwenye mda anaweza kucomment hapa.
Lengo langu kwa kifupi kuweza kutatua hizi changamoto na kila upande kuwa na urahisi wa kufanya biashara na kupata huduma. yes sawa na kuweka app na websiteUnTak kufungua app?
Lengo nikuweza kutatua hizo kero na kurahisisha biashara kwa upande wa wafanyabiashara na kwa wanunuzi kuwadhihirishia muuzaji ni wakweli na sio tapeli na bidhaa ndo yenyewe haswa na sio uwongo.Ungeweka na dodoso.Vinginevyo utashindwa kufanya analysis ya utafiti wako.Iweke kisayansi Zaidi.
nawasubringoja waje hapa
Ukisema kuibiwa mtaji unamaanishaje? sijaelewa hapo, hii ya kodi ya frame na Tra naijua, upande wa kukopa na kuchikichia sijaelewa, ni kutolipa au kupotea?Wafanyabiashara wanasumbuliwa na chuma ulete majitu yanaiba mtaji, kodi za frem na tra, watu kukopa na kuchikichia
Wanunuzi bei mfumuko, inshort hatuna hela mtukopee
Mkuu jina lako mtu akija kichwa kichwa anawaza skanka yani bomboclaat yoh yoh
Ninakupa idea.. changamoto iliyopo na haiishi ni informations!Lengo langu kwa kifupi kuweza kutatua hizi changamoto na kila upande kuwa na urahisi wa kufanya biashara na kupata huduma. yes sawa na kuweka app na website
okay nimelipokea hiliNinakupa idea.. changamoto iliyopo na haiishi ni informations!
Uaminifu broHabarini jamani,
Naomba kujua kero mnazopata wafanya biashara na wanunuaji.
Nafanya utafiti tu ili niweze kujua shida kubwa hasa ni nini kwa pande zote mbili.
Kwa mwenye mda anaweza kucomment hapa.
Wateja wanahitaji hawajui wanavipatia wapi.. na wauzaji hawajulikani au hawajui mteja ni nani. Kuna mtu anauza nta ya asali hajui anamuuzia nani. Kuna mtu anahitaji soksi pea 3 kwa buku akauze hajui anazitolea wapiokay nimelipokea hili
Hii ndo limesababisha alibaba akapenya. Nilimsikiliza sana speech zake aligusia idea yake kutokea kwenye geniune/trust/assuranceUaminifu bro
Kuaminiana kati ya mnunuzi na muuzaji ni tatizo.
Muuzaji hataki kumuamini mnunuzi na bidhaa yake kabla ya hela. Na mnunuzi hataki kumuamini muuzaji na hela yake kabla ya bidhaa. Ni MTANANGE!
Hii naitambua kuwa tatizo kubwa mno. nimelipokea hiliHii ndo limesababisha alibaba akapenya. Nilimsikiliza sana speech zake aligusia idea yake kutokea kwenye geniune/trust/assurance
Hii huwa ni changamoto kwasababu ya waliotangulia kupoteza vitu na pesa ndomana imekuwa hivi, na ni janga kubwa. Ahsante kwa huu mchango mzuri. NimelipokeaUaminifu bro
Kuaminiana kati ya mnunuzi na muuzaji ni tatizo.
Muuzaji hataki kumuamini mnunuzi na bidhaa yake kabla ya hela. Na mnunuzi hataki kumuamini muuzaji na hela yake kabla ya bidhaa. Ni MTANANGE!
Is it applicable? Kwa afrika? Mana hapo unatakiwa utengeneze kitu kjnachoendana na akili za watu wenyew zilivyo. China alibaba watu wanapigwq sana siku hizi. Kesi y quality za bidhaa imekuwa siriaz sana sana, na kuna wachina ukitia mzigo huwapati tena kwenye maisha yako yaliyobakia dunia rangirangire hiiHii naitambua kuwa tatizo kubwa mno. nimelipokea hili
Yes kwa bongo it is well applicable, Italeta mvutano kidogo lakini hamna kinachoshindikana. kwa asilimia 70 itapokelewa ila wale asilimia 30 itachukua mda kuikubaliIs it applicable? Kwa afrika? Mana hapo unatakiwa utengeneze kitu kjnachoendana na akili za watu wenyew zilivyo. China alibaba watu wanapigwq sana siku hizi. Kesi y quality za bidhaa imekuwa siriaz sana sana, na kuna wachina ukitia mzigo huwapati tena kwenye maisha yako yaliyobakia dunia rangirangire hii
Ohk welcome to the industryYes kwa bongo it is well applicable, Italeta mvutano kidogo lakini hamna kinachoshindikana. kwa asilimia 70 itapokelewa ila wale asilimia 30 itachukua mda kuikubali