Ni kheri ya uhawara kuliko kuolewa?

Naona Michelle umeguswa na cheni ya muguu mpaka umekimbia kwanza ukavute pumnzi.

Mbona nipo tu Wakumwitu,ishu iliyonigusa ni mada ya leo,nikasema ngoja nikavute pumzi,nashangaa watu wametoka nje ya mada na mtoa mada hasemi lolote......😛layball:
 
Mmmh, tuwasikilze wenyewe waseme.... sina la kuchangia!!!
 
rose bwana ndo maana nakupendaga sana
 
Kuvaa kikuku/vikuku miguuni ni kuonyesha/kutangaza kuwa unaingilika milango yooooooooooooooooooteeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nashanga...lol,habari yake bana???

Watu wana mis conception na hivyo vikuku.....

Ni urembo tu kwa wengi wetu
muulize mbona wabibi wa kimasai wanavaa MAKUKU? Ina maana wanawazidi wa kuvaa vikuku?
 

Rose lazima mwanamke aliyeolewa ajitofautishe na asiyeolewa kwa vitendo na si kwa maneno makavu.
Unapoamua kuolewa ni kwamba umeamua ku-surrender baadhi ya your personal desires unless mnakubaliana na huyo mwenzi wako.
Kwa mfano, mimi nilipotaka kumuoa mama rhobi, tulizungumza tukakubaliana ni mambo yepi tunaachana nayo ambayo tulikuwa tunafanya enzi za bf na gf. Baada ya hapo kama kuna jambo anafikiria kulifanya ni shurti anishirikishe na mimi kama kuna jambo nataka kufanya shurti nimshirikishe. Mume na mke ni mwili mmoja so hakuna kuamua kivyako, kama mmeo hapendi inabidi umshawishi, kama huwezi kujenga hoja, itakuwa inakula kwako kila siku, na ukilazimisha mambo timbwili linalipuka, so its up to you, ushawishi vs timbwili.

Halafu mi mke wangu kama anataka kutoka, akishajipamba weeeeee na kujiangalia kwenye dressing table saa nzima finally mimi ndo nae toa certificate kama amependeza navyotaka mimi ama la, hakuna nafasi ya kikuku hapo shostito. Na mimi kabla sijatoka home lazima yeye a-certify uvaaji wangu, mbona raha jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…