Ni kiasi gani cha fedha ambacho kwako kilikuwa kikubwa kuliko zote, kushika au kuwa kwenye account yako ya benki/mobile money

10 mill. Ndicho kiasi nilichowahi kukishika ilikuwa ni 2012 yani bunda lote kwa wakati mmoja likiwa na utepe wa BOT

Kwenye bank a/c ni 12mill.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…