Ni kiasi gani cha pesa kubwa zaidi kumiliki? Mimi ni milioni 10 sema iliisha yote

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi wakuu.

Katika maisha yangu mpaka sasa hela kubwa ambayo nishawahi kuishika ni million kumi tu, lakini cha ajabu nayo iliisha halafu sijui hata iliisha ishaje. Nilirudi home mikono nyuma, mtaji wote walionipa ushaisha.

Dah maisha haya jamani!


LONDON BOY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…