Ni kiasi gani cha pesa ulishawahi kuhonga mpaka ukikumbuka unajiona bonge la mjinga yaani

Ni kiasi gani cha pesa ulishawahi kuhonga mpaka ukikumbuka unajiona bonge la mjinga yaani

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,751
Nakumbuka kuna kipindi nilikua na mwanamke flani hvi (mweupee mwembamba, msafiiii) kiukweli hapo ndio udhaifu wangu ulipo.

Mwanamke wa kwanza mweupe,mwembamba,msafii nilimpa 60,000 kwa mkupuo na nilikua elfu 20 hizi 30 namtoa sana pamoja na out za kufa mtu.

Mwanamke wa pili huyu sasa nikimkumbuka ndio natamani hata kujitupa jalalani!! Elfu 50 hizi nishampa sana, laki laki hizi usipime nishampa sana, lakini nakumbuka nilishampaga 400,000 Taslimu 😭

KIUKWELI KAMA UNAJIJUA WEWE NI MWANAMKE MWEUPE, MWEMBAMBA, MSAFIII NAOMBA USIWE NA MAZOEA NAMIMI MAANA UTANIFILISI, MAANA MINATOAGA TUU PESA
 
Nakumbuka kuna kipindi nilikua na mwanamke flani hvi (mweupee mwembamba, msafiiii) kiukweli hapo ndio udhaifu wangu ulipo.

Mwanamke wa kwanza mweupe,mwembamba,msafii nilimpa 60,000 kwa mkupuo na nilikua elfu 20 hizi 30 namtoa sana pamoja na out za kufa mtu.

Mwanamke wa pili huyu sasa nikimkumbuka ndio natamani hata kujitupa jalalani!! Elfu 50 hizi nishampa sana, laki laki hizi usipime nishampa sana, lakini nakumbuka nilishampaga 400,000 Taslimu [emoji24]

KIUKWELI KAMA UNAJIJUA WEWE NI MWANAMKE MWEUPE, MWEMBAMBA, MSAFIII NAOMBA USIWE NA MAZOEA NAMIMI MAANA UTANIFILISI, MAANA MINATOAGA TUU PESA
Maximum 80,000

Siyo hela ya kunikosesha amani
 
Tsh 500, nilimlipia nauli ya Daladala Makumbusho to Goba na mzigo sikupata.., Hii pesa inaniumaga sana
 
Back
Top Bottom