pole sana mkuu kama ni kweli ulitoa hicho kiasi
Maximum 80,000Nakumbuka kuna kipindi nilikua na mwanamke flani hvi (mweupee mwembamba, msafiiii) kiukweli hapo ndio udhaifu wangu ulipo.
Mwanamke wa kwanza mweupe,mwembamba,msafii nilimpa 60,000 kwa mkupuo na nilikua elfu 20 hizi 30 namtoa sana pamoja na out za kufa mtu.
Mwanamke wa pili huyu sasa nikimkumbuka ndio natamani hata kujitupa jalalani!! Elfu 50 hizi nishampa sana, laki laki hizi usipime nishampa sana, lakini nakumbuka nilishampaga 400,000 Taslimu [emoji24]
KIUKWELI KAMA UNAJIJUA WEWE NI MWANAMKE MWEUPE, MWEMBAMBA, MSAFIII NAOMBA USIWE NA MAZOEA NAMIMI MAANA UTANIFILISI, MAANA MINATOAGA TUU PESA
Cjawahi kuhonga zaidi elfu kumi maisha yangu mpaka nilipofikia.Hivi kuhonga Mpaka Awe demu wako,Au kuhonga ni kwa Mwanamke yeyote ??
Wwe unaukwasi Mkubwa wakati sie wenzio kima cha juu 10,000 tena nayo unaitoa kwa mbinde sana3 million kiwango cha juu Mwaka jana2019 ..chini ya hapo natoaga sana....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli sio nyingi sanaMaximum 80,000
Siyo hela ya kunikosesha amani
Jamaa ni tajiri kweliWwe unaukwasi Mkubwa wakati sie wenzio kima cha juu 10,000 tena nayo unaitoa kwa mbinde sana
Sent using Jamii Forums mobile app