Ni kiasi gani mahusiano yana nafasi kwenye maisha ya mwanadamu?

baiter

New Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
2
Reaction score
1
Je, unafahamu nijinsigani mahusiano yamechukua asilimia kubwa kwenye maisha ya mwanadamu?

 
Nafasi ya mahisiano inategemeana na mtu anavyo wapa umuhimu hayo mahisiano.

Wakati ww unaona hauwezi kuishi bila kuwa kwenye mahisiano, kuna wengine wanaona mahisiano ni miyeyusho tu na kujipa mawazo.
 
Bora yawe na umuhimu lakini yasiwe ya LAZIMA...
 
Mahusiano ndio maisha na maisha ndio mahusiano, huwezi kuvitenganisha
 
Feminist wa JamiiForums watakwambia mahusiano hayana umuhimu wakirudi kwenye store zao walizopanga wanajikunja na madildo na kubaki kushauriana wenyewe kwa wenyewe wasijue wanazidi kupotezana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…