Ni kichapo gani ulichokipokea kutoka kwa wazazi enzi za utoto wako ambacho hautokisahau?

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,526
Habari za muda huu wana Jamii Forums!

Twende sambamba kwenye kiini cha kichwa cha habari
Nakumbuka mnamo mwaka 2002 nikiwa na umri wa miaka 10 tulikuwa tunaishi wilayani Maswa katika kota za polisi,

Nilikuwa na kaka yangu alikuwa na umri wa miaka 16 , Tulikuwa tumezoeana kana kwamba utani muda wote ndo ilikuwa sehemu ya maisha yetu,
Basi bhana tukawa na mchezo wa kutaniana kuwa kaka unaitwa na baba akienda anaambiwa haitwi hivyo hivyo kwangu pia alipenda kunidanganya naitwa nikienda kwa Baba kumuuliza kama ananiita anakanusha nikirudi kwa kaka ananidhihaki,
Ikatokea siku nikiwa nacheza akaniambia DOLA unaitwa na BABA nikijua kuwa ananitania nikamjibu SITAAKIII akaniambia Dola sikutanii unaitwa nikamjibu KAMWAMBIE SITAKII,
kaka akarudi kwa Baba kuripoti kuwa nimekataa,
Hahahaaa aisee mzee akaja akaniambia wewe Dola mimi nakuita unasemaje?
Akanipa adhabu ya kuruka kichura chura huku nikiwa napigwa nyaya za mgongo na mateke wee mpaka leo nikikumbuka huwa nacheka sanaa!

Vipi kuhusu wewe?
 
Haha..mkuu mimi nakumbuka zamani kulikuwa na mtoto wa anko tulikuwa tunacheza nae utotoni sasa one day mzee wang akawa anatokea kazini akapitia home na wageni.sasa Ile wanaingia sisi ndiyo tunakimbizana kutokea bustanini. home kuna matunda matunda mengi...nilikuwa nimeshika topetope liloiva kupitiliza ile namlenga mtoto wa anko likatua usoni mwa mgeni..kwa wanayoyafahamu matopetope watagundua kilichotokea..hahahahahaa mzee alipanic akaanza kunifukuzia tukapita hao barabarani pita mtaani tukafika chobsi moja akateleza down akachafuka balaaa. Alirudii home. Kilichotokea usiku baada ya kurudi home hadi mzee akikumbuka huwa anacheka kinooma
 
Mwaka 2002 ulikuwa na miaka?????anyway nakumbuka niliiba sukari guru dukani kwa mrangi nikaiviringisha kwenye kaptura...bahat mbaya ikadondoka nikiwa bado pale dukani!kilichofuata.......mpaka leo mkono wangu wa kushoto hauko sawasawa.
 
Aseee kuna siku nilienda kuogelea kwenye bwawa la maji ya mvua (wale wa kijijini watanielewa, dimbwi), nilitokaa nyumbani asubuhi nikarudi saa kumi hv nikiwa nimepauka.
Nilifungwa kamba wacha nichezea kipigo kitakatifu, hadi leo naogopa kuogelea.
 
Duu kisa changu siwezi kukisema kilikua cha beki tatu wakati ndio sijui nabalehe .....aloooo! yule mzee alipiga bana !

Nilikua naskia kwamba ukimshika mwanamke maziwa analegea ,nilitoka speed kama ngiri nikaning'inia kwenye maziwa ya beki tatu nikijua namlegeza kumbe namuumiza ,alinisemea bana maana ilibidi apelekwe hospital hicho kipigo sitokaa nikisahau
 
Kuna siku nililala nje ( uchokoraa) 14aged, nilipokea kichapo kutoka kutoka kwa mshua hadi nikajinyea siwezi sahau asee....
 
Nakumbuka niko class three mama aliniachia mtoto home akaenda msibani mtaa wa tano, akaniambia anarudi muda si mrefu, nikambembeleza mtoto akalala nikamlaza chumbani kwa mama nikafunga mlango huyoo nikazamia mtaa wa pili kucheza mdako, mtoto akaamka akajiviringisha kitandani akadondoka chini....
Mtoto alilia kidogo azimie, wakati huo mm nishasahau kama nimemwacha mtoto ndani, akaja aunt yangu akafungua mlango akashindwa, akaita bila mafanikio, akamfuata mama msibani, mama akaja mtoto yuko ndani analia na funguo ninayo mimi....
Wakaanza kunitafuta, akili imezama kwenye michezo, niliposikia naitwa ndio mawazo yanarudi kuwa nimemwacha mtoto ndani... Nilichofanya nilikwenda kumrushia aunt funguo manake walikuwa na hasira balaa...

Wakanikaushia wakamuwahi mtoto, baadae aunt kaniita kirafiki eti ananituma dukani... Ee bhanaa eeh,nilipigwa kipigo cha paka mwizi, mama alinipiga kama vile hakunizaa yeye, baadae baba aliporudi akasimuliwa akaniongeza kichapo, mtoto alilia mpaka akapata homa aisee, kila aliyepita pale home akakuta lile tukio alitamani anikafue kafue... Utoto una mengi ila kwa kile kichapo ingekuwa ni kwa hali za leo wazazi wangu wangeweza kushtakiwa, mpaka bibi yangu alikuja kunichukua kuniuguza majeraha....
 
ha hah ahahahaaa
 
ha hah ahahahaaa
Wewe acha nilijua ukimshika kidogo atalegea kidogo tu sasa ikabidi nitumie nguvu ya ziada ili badala ya kulegea kidogo nimflotishe ili nifanye mambo yangu kwa urahisi maana alikua pande ya dada
 
nakumbuka nikiwa darasala nne mama alikuwa natabia ananunua pipi nyingi kila akienda sokoni anatupa na nyingine anahifadhi kwenye kamkoba chake anaweka kwenye droo ili ukifanya vizuri kazi au shuleni anakupa pipi kama pongezi, sasa mimi nikawa naenda kuiba mama akawa anajua,,... nikaanza tabia ya kuzifungua nazinyonya narudisha kwa zamu maza akiuliza mbona hizi pipi zinaloa anakosa jibu.. sku hiyo akawa kama anahisi jambo haliko sawa nikaingia kama kawaida chumbani kwa mama ile kufungua mkoba wake nikavunja kifungo cha mkoba nikaanza kazi ya kuzinyonya kwa zamu na kurudishia kumbe mama yupo dirishani anasoma mchezo ..jamani nilifungiwa mule chumbani kama mtu anajua fimbo za mueleimu alikata nyingi milipigwa kama kibaka kuanzia sa kumi mpaka sa moja mdingi aliporudi nakukuta madogo wanalia mlangoni ndiyo pona yangu.. mpaka leo yale mapipi nikiyaona hamu sinaga nayo
 
Wewe acha nilijua ukimshika kidogo atalegea kidogo tu sasa ikabidi nitumie nguvu ya ziada ili badala ya kulegea kidogo nimflotishe ili nifanye mambo yangu kwa urahisi maana alikua pande ya dada
ha haha nadhani dada alipata mshtuko
 
Hahahahah aysee,bro umenivunja mbavu Hahahahah
 
Haha uncle una vituko
 
Yaani ndugu stori yako na yangu zinafanana kabisa, tofauti ni kwamba wewe ulikula double kisago akati mie nilikula single kisago kutoka kwa mwana maza.
 
nilifumwa na binamu yangu sitokaa nisahau!!! ilikuwa jumamosi mwaka 1998 nikiwa drs la 4 binamu LA 6. baada ya wazazi kiondoka kwenda shama mida ya SAA 9 binamu akaenda kuoga ,kwa utoto wangu nikaenda kupiga chabo. kumbe binamu alikua anajipiga selfe kwa vidole, Mara gafla akanishtukia baada ya kuzubaa mlangoni........niliomba samahani asinisemee( kumbe ndo tabia yangu) akagoma nikasema poa tuu.
Baadae nakaenda kuoga naye akaja kupiga chabo....nikamindi akasema amelipiza.....nikaona mchezo umekuwa mtamu....akasema tuoge wote ......HAPO NDO NILOHARIBU.tulioga mpaka SAA 11 ikawa ndo Mara yangu ya kwanza kuonja papuchi,tukafumaniwa na mama.
Tulipewa kichapo sitokaa nisahau,hatukula chakula nukalazwa uvunguni... na ukawa uhamisho wa binamu kurudishwa kwao Dodoma nikabaki Moshi. mpaka tunaonanan baada ya kimaliza form 6.utoto ni balaa.
 
Hahahaha mkuu kwamba mgeni anafika akakutana na topetope la uso! Hahahahaha u made my day Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…