20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
NIN MATUKIO AMBAYO NIKIKUMBUKA NACHEKA NA KUHUZUNIKA.
1.Nakukumbuka kipindi cha nyuma Nilikuwa mtu wa misuli misuli , kujisomea somea na kusolve pepa na watu walionizidi darasa, maana wengi ndio nilikuwa nao na kucheza nao.
Hasa siku hiyo narudi usiku like saa moja hivi, na kabegi kangu, watu kimyaaaa home.
Kumbe kuna nanga alienda rum kwa wazee akapanda na matope kitandani ili achukue hela kabtini juu.
Maza kurudi kakuta tope, kauliza kimyaaa, kagawa kipigo nyumba nzima hadi atajwe muhsika.
Baada ya kipigo kuzidi, wakaona wanitoe kafara mie nisiekuwepo. Sasa hapo ndo nikawa nasubiriwa hamu na morale zote.
Tangazo likatolewa mm ndio most wanted,kufika naambiw unaitwa na maza chumbani kwake. Nikakaribshwa kwa upendo wote, kilicho faata naona maza anafunga mlango kama HELL IN A CELL, MITHILI YA POLISI MNAA NA MAABUSU MPYA.
Kamchezo kakaanza, kimbizana rum hapa na pale kwa kipigo sijui kosa langu, nilikuwa napenya kweny kochi la ndani, mara nyuma ya kabati mara nipo uvunguni sijui nilibugi wapi mie nikadkwa pigwa loba na miguuu, kichapo kitamuuu sana ( hiki lazima nilipe nikidaka mwizi) nilichomoka kama Jerry kwenye mikono
ya Tom, fungua mlango, fungua geti ndukiii
Maza nae mnaaa hajaniacha huyu mkuku, nikasema hapa nawasha turbo asome namba za viatu
Watu wakaaniungia siunajua life la zaman, ukifanya kosa kwa mzazi unakuwa adui wa mtaaa mzima lakin wapi sijadakwa.
Ishu ikawa kurudi home.