LGE2024 Ni Kichekesho Kutumia Sifa za Utendaji wa Rais Kumnadi Mgombea Uenyekiti wa Mtaa

LGE2024 Ni Kichekesho Kutumia Sifa za Utendaji wa Rais Kumnadi Mgombea Uenyekiti wa Mtaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Hivi unakuja kunipigia kelele za kumchagua mwenyekiti wa mtaa kwa sifa za Royal Tour? Au kukaribishwa

kuhudhuria mkutano wa G20? Na awali nilidhani ni huyu tuu aliyekuja kuzindua kampeni huku kwetu, kumbe ndio style yao wote nchi nzima wakiongozwa na Makalla kila aendapo.

Utendaji wa mwenyekiti wa mtaa na habari za Royal tour wapi na wapi? Hiki chama hivi kuna waliobaki humo wenye weledi au ni bora liende tuu?

Kumbe ndio maana wanatumia nguvu kwa kila kitu
Alamsiki!
 
Back
Top Bottom