Ni kifaa gani hiki?

Ni kifaa gani hiki?

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
20240513_103601.jpg

20240513_103551.jpg


Kikikufaa njoo tufanye biashara pia bei kinauzwaje?
 
Hiyo ni Radio call ya mawasiliano; inaweza kutumika kwenye Camp za porini (bush camp) au kwenye magari ya watalii au magari ya kijeshi/kivita. Naona kama niya kizamani sijui kama bado inafanyakazi....
 
Radio call hiyo ya kizamani kidogo..

Ukitaka kuuza chap kuna jamaa yuko Instagram anakusanya vitu vya zamani Antique anaweza kupa hela hiyo Username yake (at) ngoshoinnovate
 
Back
Top Bottom