LA7 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 655 Reaction score 2,369 May 13, 2024 #1 Kikikufaa njoo tufanye biashara pia bei kinauzwaje?
K kimbomba25 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2017 Posts 1,160 Reaction score 2,117 May 13, 2024 #2 Hii nyara umeipata wapi, mkuu?
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 May 13, 2024 #3 Nakihitaji ila nitafutie sare, kofia pamoja na viatu vyake
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 May 13, 2024 #4 Kifaa cha kuwasiliana kwenye meli, kimepitwa na wakati
Mjomba Fujo JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 2,438 Reaction score 6,313 May 13, 2024 #5 umeteka gari ya afande. arooo sweka ndani riharifu hili.
X Xi Jinping JF-Expert Member Joined Jun 14, 2023 Posts 3,651 Reaction score 11,548 May 13, 2024 #6 Umekipata wapi?
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 May 13, 2024 #7 Radio call ya gari.
CriSanToS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 1,233 Reaction score 3,575 May 13, 2024 #8 Hiyo biashara tunaifanyaje ili hali wewe mwenyewe hicho kifaa hukifahamu???? 🤒 😎
Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,092 Reaction score 5,386 May 13, 2024 #9 Hiyo ni Radio call ya mawasiliano; inaweza kutumika kwenye Camp za porini (bush camp) au kwenye magari ya watalii au magari ya kijeshi/kivita. Naona kama niya kizamani sijui kama bado inafanyakazi....
Hiyo ni Radio call ya mawasiliano; inaweza kutumika kwenye Camp za porini (bush camp) au kwenye magari ya watalii au magari ya kijeshi/kivita. Naona kama niya kizamani sijui kama bado inafanyakazi....
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 May 14, 2024 #10 Hiyo ndio cable ya internet iliyozingua tangu juzi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 14, 2024 #11 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Satoshi Nakamoto Senior Member Joined May 28, 2017 Posts 110 Reaction score 464 May 15, 2024 #12 Eleza kwanza umekipata wapi
Trainee JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 2,660 Reaction score 3,501 May 15, 2024 #13 Hiyo ni saa haya mimi nina elfu tatu njoo pm tuyajenge
Flava90s JF-Expert Member Joined Dec 13, 2017 Posts 309 Reaction score 495 May 15, 2024 #14 Radio call hiyo ya kizamani kidogo.. Ukitaka kuuza chap kuna jamaa yuko Instagram anakusanya vitu vya zamani Antique anaweza kupa hela hiyo Username yake (at) ngoshoinnovate
Radio call hiyo ya kizamani kidogo.. Ukitaka kuuza chap kuna jamaa yuko Instagram anakusanya vitu vya zamani Antique anaweza kupa hela hiyo Username yake (at) ngoshoinnovate
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,300 Reaction score 1,969 May 15, 2024 #15 Umekiamkia hicho kifaa mkuu?Kinaweza kuwa na umri wa dingi yako mkubwa au mjomba yako.