Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Series ya Money Heist ilikuwa ya moto sana hadi pale Nairobi na Tokyo walipofariki yaani nilikosa nguvu ya kuendelea kutazama muendelezo wa Tamthilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Walifariki? Ama uhusika wao ulikoma? Watanzania tubadirike kifikra
Nilidhani kufa kweli kumbe kufa kimovie movie. Daenarys Taegaryn sijui kama nimepatia jinaSeries ya Money Heist ilikuwa ya moto sana hadi pale Nairobi na Tokyo walipofariki yaani nilikosa nguvu ya kuendelea kutazama muendelezo wa Tamthilia
Sikujua kama yule binti liekuwa anamfundisha sir devos kusoma anaweza uliwa kikatili namna hile tena kwa baraka za baba yake aliekuwa mfalme the red women ni mshenzi walimchoma moto yule alilia sana wamuache baada ya hapo nikaamini ule usemi wa kila character unaenza kumpenda kwenye game of thrones basi anakufa hapo mwanzo nilianza kuzikubali akili a talilanista lile panga la uso nilijua ndio kwisha habari yake lakini ndio hand of the queen huko kwa khalees!Rob Stark - Game of Thrones