Liquid Fund au ukwasi wanalipa vizuri sanaNdugu wadau, wengi wamekuwa wakinishauri niwekeze akiba yangu UTT lakini hawanipi taarifa muhumu hasa kwenye gawio linalopatikana kwa vifurushi mbalimbali vya UTT. Ndo najiuliza kwa sasa June 2022, ni mfuko gani wa UTT unalipa gawio vizuri kuliko mwingune ,je ni liquid au bond au umoja? Bado nina 30 to 50 Million Tsh natafuta pa kuweka nikiwa najipanga kwa fursa mpya
Kwa milion mia wanawaze nipa %ngapi kwa mwakaLiquid Fund au ukwasi wanalipa vizuri sana
12% na kwa mwezi ni 1% wako vizuri san autajutiaKwa milion mia wanawaze nipa %ngapi kwa mwaka
Aise hii ngoja nikaweke million mia yangu. Asante. Offisi zao zipo wapi hawa12% na kwa mwezi ni 1% wako vizuri san autajutia
Ingia website ya UTT Wana Ofisi mikoaniAise hii ngoja nikaweke million mia yangu. Asante. Offisi zao zipo wapi hawa
Hivi milioni 100 ukiamua kuifanyia biashara, mfano kununua mpunga na mahindi kipindi hiki halafu baada ya miezi sita ukauza...12% na kwa mwezi ni 1% wako vizuri san autajutia
Mkuu biashara sio maneno peke yake NI uzoefu, connection,bahati,juhudi, uvumilivu n.k......so Kama hujawahi fanya hio biashara NI Bora utulie uanze na mtaji mdg kwanza.business Zina mambo ya ajabu SanaHivi milioni 100 ukiamua kuifanyia biashara, mfano kununua mpunga na mahindi kipindi hiki halafu baada ya miezi sita ukauza...
Ni kweli ni jambo jepesi kwa kulizungumza hapa. Ila kwa utekelezaji matokeo hutegemea sana zali. Kama nyota yako imehafuliwa unaweza ukapoteza hio pesa na usiamini😂😂😂Hivi milioni 100 ukiamua kuifanyia biashara, mfano kununua mpunga na mahindi kipindi hiki halafu baada ya miezi sita ukauza...
Mkuu biashara sio maneno peke yake NI uzoefu, connection,bahati,juhudi, uvumilivu n.k......so Kama hujawahi fanya hio biashara NI Bora utulie uanze na mtaji mdg kwanza.business Zina mambo ya ajabu Sana