Ni kinywaji gani unapenda kutumia utokapo na marafiki?

Nipo Diamond hapa leo napeleka Bia yangu kanda yangu machizi wanywa Windhoek wana mind kinyama
 
Smirnoff ice black narefersh nikiwa kazini
Safari ya kopo nikiwa sina hela nna hamu ya kunywa
Jameson nikiwa home
Guiness nikiwa bar
Heinken nikiwa viwanja vya kijanja
Hennessy nikakaa mkao wa deal au wa mipango na maDon
MagicMoments nikitaka kumtafuna demu ambae anajifanya hapendi harufi kilaji
Tall Horse wine yangu ya home

Pombe raha sana haswa ukiinywa kwa mpangilio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…