Mate yamejaa mdomoni daah we jamaa mbaya sana kunitamanisha ndo nini sasa
Mbege, magae, ......Mimi nikitoka na marafiki hua napenda kutumia vinywaji ivi;
*Peroni Nastro Azuro
*Safari
*Robertson wine
*Castle Milk Stout
* Pepsi
*Jack Daniels/ Smineoff / Zanzi....
Hapo rafiki utaleta nyuki sasa itabidi tutoke usiku tu [emoji1]Hahaaaa. Mie rafiki vinywaji vya sukari sukari sa sijui ndio vinafatwaga na inzi ama? Teh
Hahahaaa. Itabidi iwe hivyo kwa kweli.Hapo rafiki utaleta nyuki sasa itabidi tutoke usiku tu [emoji1]
Imevutia hii ngoma chimbuko la wapi?View attachment 723816
Karibu mkuu
Central zoneImevutia hii ngoma chimbuko la wapi?