Aah! usiseme hivyo bhn...Anakunywaje vinywaji hivyo ebu mfundishe vinywaji vya kiume
Kweli hayo madude makali mnoHahah! hakika mkuu, hizo ngumu mara moja moja sana
Kweli tena sikutanii afu nitakuja maeneo flani unipe picha kwa ukubwa zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendraaaaaa
Kunywa beerHahah! hakika mkuu, hizo ngumu mara moja moja sana
Basi ajinywee castle lite tuHuwa anakunywa castle lite [emoji23]
Kweli jamaniAah! usiseme hivyo bhn...
Ukuje nitakupa za kwangu hapo ni kwa jiraniKweli tena sikutanii afu nitakuja maeneo flani unipe picha kwa ukubwa zaidi
Ndyo kinywaji chake pendwa na mirinda nyeusi za kuongeza damuBasi ajinywee castle lite tu
Anywe lite twende sawa tuNdyo kinywaji chake pendwa na mirinda nyeusi za kuongeza damu
Umefanya nijisikie mfedheheko kabisaKweli jamani
Sikuhizi hadi mmeanza kufananaAnywe lite twende sawa tu
Dah mkuu hikitu ninoma sanaKitu Velve
Poa kitaeleweka huko hukoUkuje nitakupa za kwangu hapo ni kwa jirani
Haaahaaa nimecheka umenikumbusha viroba vya shujaa na coffee asante mkuu kwa kunikumbusha virobazShujaa tunamix na balimi.
Purposely kwa ajili ya kuendana na hii hali ya uchumi wa viwanda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Poa kitaeleweka huko huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumekuwa mapacha eenh kibonge na kimbau mbauSikuhizi hadi mmeanza kufanana
Hahahaj mfadhaiko wa nini sasaUmefanya nijisikie mfedheheko kabisa
Hahah!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumekuwa mapacha eenh kibonge na kimbau mbau
Kauli zako zilivyo kali juu ya vinywaji vyangu...Hahahaj mfadhaiko wa nini sasa