Ni kipi cha kukumbukwa ulichomfanyia Mpenzio 2011?

Wangu mie nilimgomea kumkatia ticket ya Mv Spice Irelander (akitaka kwenda ktk harusi ya shost wake) sikua na sababu ya msingi kumgomea zaidi ya wivu wangu! Kesho yake ndiyo ikaonekana mie mganga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…