Ni kipi chanzo na tiba ya blighted ovum

gimmy's

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
3,312
Reaction score
3,345
Habari,
Kwanza kwa faida ya wale wasio elewa blighted ovum ni tatizo ambalo huwakuta wakina mama la kuharibika na hatimaye mimba kutoka.

Naomba kwa wale wenye utaalam,uzoefu na wabobezi kwenye afya ya uzazi waeleze chanzo,kinga na tiba ya tatizo hili kwa faida ya wote niwatakie Siku njema.
Asante
 
Sababu ni Poor quality ya sperm au yai, inayoleta matokeo ya abnormal chromosomes kwa mimba iliyotunga, so mwili wa mwanamke ukishatambua hizo abnormal chromosomes, naturally una withdraw kuendelea na mimba. Hapo miscarriage inatokea. Aidha itoke yenyewe au ikatolewe hospitali

Mimba inatunga, cells zinaongezeka kawaida na kukuza preg sac, ila embryo haikuwi. So basically growing an empty pregnant sac.

Unfortunately huwezi kuzuia tatizo kama hilo, likitokea limetokea, wanashauri ukipata miscarriage usubiri at least miezi mitatu kujaribu mimba tena, rarely happens zaidi ya mara moja.
 
OK,
je kuna tiba yoyote endapo itatokea zaidi ya mara moja ili kuzia isijirudie tena?
 
Chanzk chake kikubwa ni Chromosomes abnormality yaani unakuta yai au sperm inaupungufu kwenye DNA iliyobeba au unakuta yai halina Nucleus kwa ndani kwahiyo sperm inaenda kurutubisha yai lisilo na nucleus kwa ndani kwahiyo wakati wa kuendelea na uumbaji kunatokea kuwa Embryo hajiform so ndio maana inaitwa Unembryonated pregnant. (Brighted ovum)

Ila pia chanzo kingine kinaweza kuwa Hormones imbalance kwa mwanamke

Haina Tiba ila dawa yake ni kusafishwa tu na kujipanga tena kwa mimba nyingine. Ila haiwezi tokea zaidi ya mara mbili chance ni ndogo sana kujirudia
 
Thnx kwa michango yenu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…