Cheki kwenye google habari sahihi zaidi. Equatorial Guinea, zamani ikiitwa Rio Muni imepakana na Cameroon kaskazini na Gabon kusini na mashariki. Haikupata kuongozwa na Sekou Toure. Sekou Toure alikuwa wa Guinea. Ile inayopakana na Sierra Leone, Guinea Bissau, nk.Nkwame Nkrumah, serikali yake ilikua ya rushwa, alitegemea jeshi la kuazima kutoka russia, pia hakua makini upande wa jeshi lake la watu wa ghana, salary kwa jeshi ilikua kidogo wakati yeye na watu wake wakifanya anasa kwa pesa ya serikali, ndo raisi ambaye ameingia kwenye historia ya kuongoza nchi nyingine tofauti na Ghana, baada ya kuondolewa madarakani 1966 alienda Gunea ya ikweta kuongoza nchi hyo kwa pamoja na raisi wa nchi hyo seke toure hadi alipofariki 1977
Soma novel ya The Beatyful Ones are not yet Born by Ayi Kwei Armah utapata majibu ya kwa nini alipinduliwaSalaam wana jamvi wote!! Ninaomba mwenye data za uhakika juu ya nini hasa kilisababisha mwana wa afrika kwame nkurumah kupinduliwa hapo 1966,maana kuna uvumi kuwa alipinduliwa mara baada tu ya kuruhusu jengo la freemason lililokuwepo mjini accra kuvunjwa huku mwenzie nyerere akiliacha liendelee kuwepo mjini dar es salaam.je nadharia hiyo ina ukweli wowote na imani hizo??(kumbuka ushawishi wake ulikuwa juu sana afrika ukiachilia mbali intellectual arrogant aliyokuwa nao)
naomba wana jamvi mtililike juu ya hili