Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Ni jambo gani haswa lilikuvutia hadi ukaamua kujiunga na Jamii forums. Na je tangu umejiunga huu mtandao wa Jamii forums umekusaidiaje na wewe umeutumia vipi kuwasaidia wengine?
Mimi binafsi nilijiunga 2007 ila kutokana na hasira na mihemko nikaishia kula IP ban!
Mimi binafsi nilijiunga 2007 ila kutokana na hasira na mihemko nikaishia kula IP ban!