Ni kipi kinachoendelea Bongo?

Sidhani kama matukio ya kibiti yanahusiana na ugaidi.Kama ni ugaidi mbona wanashambulia sehemu moja tu,tena wanalenga watu fulani fulani??
Ugaidi ni ugaidi tu hata kama unashambulia sehemu moja tu na kulenga watu fulani fulani.
 
Ukweli ni ugaidi unaendelea kibiti,nakumbuka kuna kipindi CNN walielezea jinsi Jihad john alivyokamatwa TZ,akielekea Somalia,na NIS ya Kenya ilivyowakata Wa TZ wakielekea Somalia, this guyz are back!
 
Nitaamini km ni ugaidi hadi hapo JWTZ watakapoingia kazini rasmi
 
Hahaha nimeishia kucheka
 
Mungu atunusuru.. Kwa hili la Kibiti na mengineyo
 
wamemaliza albino sasa wameanza kuuana wenyewe kwa wenyewe?
 
Tatizo ukichanganya Quran inavyofundisha ugaidi na serikali ya bongoinavyowaminya watu bilakuwapa hata matumaini ya kupata ugali bila mboga, watu wenye mioyo midogona vichwa vya panzi lazima watoe damu.
 
Eeh... Hatari... Mchunge bwana bure hamtakuwa na nchi and pray hard that it is NOT home grown terrorism
 
Intelligence ipo vizuri sana kwa sasa. Alipo kuja raisi wa Turkey kuna mambo aliongea na Magufuri kuhusiana na kikundi kimoja cha kigaidi kinacho fadhili baadhi ya shule nchi Tanzania napia kudai nimejo ya kikundi kilichotaka kufanya mapinduzi nchini Turkey. Nachojoa hawa watu awato penya. Naludia kusema hawato penya..
 
Acheni chuki za kidini hatakama dini ya mwenzio huwipendi usiizushie mambo makubwa ambayo hayapo izo nichuki tu zakisiasa mbona hao waliouliwa wengine ni waislam mwenye kitu wa mtaa anahusiana nini na maswala ya kidini acheni kueneza chuki za kipumbavu
 
If its homegrown terrrorism ni kubaya,which I suspect it is,yaani you fight your own country men hujui nani gaidi nani mtu mzuri kama nigeria
 
Yanayoendelea Kibiti ni ugaidi ila siamini kama una muingiliano na alshabab au una msukumo wa Dini. Sababu kubwa ni victims wa mauaji na mazingira ya mauaji

Kibiti wanaouwawa ni viongozi wa kata/mitaa ambao wengi wao ni CCM. Hawaguswi watoto wala wanawake, na wengi waliouwawa ni watu wa dini moja (waislam). Hivyo sina budi kuamini wanaotekeleza mauaji ni watu wenye ajenda ya kisiasa
 

Mimi sio mwanasiasa wala siongei mambo ili kufurahisha watu, ukweli lazima usemwe. Wewe kama ni 'arab wannabe' shauri yako.
 

Lengo kubwa ni kuweka 'dola ya kiislamu' kama ilivyo kwa Boko Haram, ISIS na Al-Shabab. Ili kufikia malengo hayo ni lazima kuhujumu uongozi uliopo kwa kuwaua viongozi. Hao CCM wameuawa kwa kuwa ndio wenye dola.

Hamna siasa yoyote hapo, polisi wanaouwawa nao ni wanasiasa? Acheni uoga wenu wa kusema ukweli kwa kuwa mnaogopa 'kuwaudhi' watu fulani.
 
Ni nadharia nyingine pia, moja au zote zinaweza kuwa kweli au uongo.
 
Mimi sio mwanasiasa wala siongei mambo ili kufurahisha watu, ukweli lazima usemwe. Wewe kama ni 'arab wannabe' shauri yako.
Pengine wewe unawajua vizuri hao wauaji ni vyema ukaisaidia polis maana paka sasa hakuna report yoyote yenye kueleweka wauaji wanataka nini
 
Huko kibiti ni polisi na raia wenye ghadhabu wanao dai kuwanyanyaswa na hao polisi tena sio wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…