Ukisoma katika sheria ya ushahidi tofauti yake haiji vizuri ila kutokana na case law confession ni pale mtu anakubali mambo yote ila admission anakubali baadhi ya mambo
Ukisoma katika sheria ya ushahidi tofauti yake haiji vizuri ila kutokana na case law confession ni pale mtu anakubali mambo yote ila admission anakubali baadhi ya mambo
Kwa kuongezea kwa mfano case ni Murder (Kuua kwa kukusudia) Kwene Admission unakubali kuua mtu lakini unapinga kuwa hukukusudia kumuua ni bahati mbaya(Manslaughter).... lakini ukikubali kuua mtu kwa kukusudia hiyo ndiyo Confession yaani umekubali kila kitu kwenye charge.