Maziwa ya ng’ombe yana protein, sodium na potassium nyingi kuliko mahitaji ya mtoto wa chini ya mwaka, pia hayana vitamin E, iron na fatty acids za kukidhi mahitaji ya mtoto wa umri huo.Kuna mtu ameniambia maziwa ya ng'ombe hayafai kwa watoto chini ya mwaka mmoja
Nilikuwa nikikosea pasipo kujua kuwapa watoto wa miezi kuanzia sita maziwa. Niwakati sasa nijifunze malezi ya watoto nisimuachie mama pekeyakeMaziwa ya ng’ombe yana protein, sodium na potassium nyingi kuliko mahitaji ya mtoto wa chini ya mwaka, pia hayana vitamin E, iron na fatty acids za kukidhi mahitaji ya mtoto wa umri huo.
Lakini wale watoto wa wafugaji wanakua salama tu. usilolijua halikudhuruNilikuwa nikikosea pasipo kujua kuwapa watoto wa miezi kuanzia sita maziwa. Niwakati sasa nijifunze malezi ya watoto nisimuachie mama pekeyake
Huku ninapo ishi ndugu watoto wnapewa uji wa unga wa mihogo wakiwa na mwezi mmoja tuu. Mashine itabidi niagize mjini, kama unajua bei zake pia ingenisaidiaAmkamulie yanayomtosha mpaka muda anaorudi.
Anunue mashine ndio rahisi kukamulia. Si vizuri kumpa maziwa mengine kabla ya miezi sita
Option pekee iliyopo ni Lactogen. Nikitumia hii itakuwa na tatizo?Kuna vifaa maalum lakini mikono inafaa, ikiwa ni ngumu sana mpe MSA au ABC gold,
Kuna gold? Maana gold inakuwa na virutubisho kama vya maziwa ya kwanza baada ya kujifungua.Option pekee iliyopo ni Lactogen. Nikitumia hii itakuwa na tatizo?
Wengine wana maziwa kidogo watapata shida kukamua yakutosha.Mama yake akamue maziwa yakae kwenye fridge