barnabas masoko
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,298
- 659
Wakati wapenzi wa soka tukihema kwa kuzani tumepata nafuu,mala ghafla ndoto inazimika na kubaki hiatoria. Tuna mengi ya kujifunza hapa kuliko kubaki tumehamaki tu,na tunabaki na maswali na kwa mujibu wa tangazo LA tff kuwa jambo hili halitakiwi kuhojiwa pesa ndefu imeondoka je ni kwa maslahi ya nani hasa.
Je mpka GSM anaita waandishi hakukutana na mwenza wake TFF
Je walishindwa kupata muafaka wa jambo hili
Ni kipi TFF kimemshinda kwenye mkataba tukumbuke mwenye Mali ya mkataba ni GSM na TFF
Kweli simba ndio chanzo cha yote
Kwa nn GSM hakutoa hata senti kwenye mkataba uliodumu kwa miezi mitatu
Nani kapata faida nani kapata hasara na snaehitajika kumlipa mwezi wake
Je kulikuwa na madudu gani mengine zaidiya haya
Kwa nini wahusika hawakutakiwa jua kilichomo kwenye mkataba
Maoni yangu binafsi
Bado muda upo kufanya jambo,mamlaka husika zitoke usingizini kwa maslahi makubwa ya mpira wetu,zijalibu kuwaita hawa wahusika na kuweka mambo mezani.
Kwani kuna athari kubwa kuliko faida kwenye hili na ikiwezekana mikataba ya TFF ipitiwe yote kubaini madudu yanayojitokeza kwa sasa,spid ya kukua mpira wetu ilikuwa nzuri sasa tusikubali kuludi tulikotoka.
Kalia inabidi atoke sasa na madai ya simba yanapata mantiki hapa sheria zetu za mpira ziendeahwe kwa kuangalia kipindi tulichopo maendeleo ya mpira kwetu bado sana watu kama GSM tunawaitaji katika uwazi unaokubalika nakumbuka yanga na uzamini wa azam nini kilitokea mpka mambo yakaenda sawa.
Waziri husika nazani upo jikoni utakuja na mapishi mazuri ambayo kwetu itakuwa dawa,tupate muarobain wa tatizo LA uongozi mikataba uwazi na uwajibikaji kwenye mikataba ya TFF inatakiwa kuangaliwa upya.
Tusifurahie hili kama tunautakia mema mpira wetu wa miguu Tanzania.
Burners