Ni kipi uwenacho kufungua sehemu ya kujaza gess katika majiko?

Ni kipi uwenacho kufungua sehemu ya kujaza gess katika majiko?

Gwaje Shabani

Member
Joined
Feb 5, 2017
Posts
15
Reaction score
9
Habarini za muda huu?

Poleni sana na majukumu ya kila siku,

Leo nimekuja na swali ndugu zangu, kwa atakayekuwa mjuzi basi atatusaidia kutuelewesha sote tunao hitaji uelewa juu ya hili.

Kima cha chini kabisa cha mtaji ambacho mtu anatakiwa awenacho ni kipi katika kufungua sehemu ya kujaza gess katika majiko. Na mahitaji au vifaa muhimu ni vipi ambavyo mtu anatakiwa awenavyo.

Shukrani kwa usikivu, Mungu awafanyie wepesi katika shughuli zenu za kila siku.

Ahsante!
 
Back
Top Bottom