Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 7,781
- 6,966
Katika michakato yetu ya kitaaluma kuna vitu huwa tunafundishwa au kuaminishwa ila badae tukitoka katika viunga baada ya muda mwingi kupita tunakuja kugundua sio kweli au haviwezekani au ilikuwa ni "fiksi" tuu.
Kwamba tunatumia Ajebra kila siku katika maisha yetu ilikuwa fiksi.
Kwamba tutatumia vile tunavyovisoma katika maisha yetu ya kila siku!
Kwamba tusome sana tupate degree tutafanikiwa katika maisha yetu!
Kwamba huwezi kuwa na kikokotozi kila sehemu hivyo tutumia kichwa kufanya hesabu!
Weka na wewe kisa chako!