Ni kitabu gani kinachosomwa zaidi kuliko vyote duniani na thamani ya ujumbe wake haijawahi kushuka?

Ni kitabu gani kinachosomwa zaidi kuliko vyote duniani na thamani ya ujumbe wake haijawahi kushuka?

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Habari za leo marafiki.

Nimekutana na hili swali mahali; kwamba ni kitabu gani kinachosomwa zaidi kuliko vyote duniani na thamani ya ujumbe wake haijawai kushuka?
 
Ile heshima ya JF kuitwa "Home of Great Thinker" inazidi kupotea kila siku, hili ni swali gani sasa? majibu yake yanakusaidia nini?
ndio nmekuja kupata msaada kwa ma great thinkers ambao ndio ninyi. Nataka nijue ili namimi nikakisome
 
Google Mkuu Utapata Majibu Murua.

-Ukigoogle tu utaimbiwa ni Bible.
 
Habari za leo marafiki.

Nimekutana na hili swali mahali; kwamba ni kitabu gani kinachosomwa zaidi kuliko vyote duniani na thamani ya ujumbe wake haijawai kushuka?
Ngumu kujua kitabu gani kinachosomwa zaidi, hizi ni data za vitabu vilivyouzwa zaidi.

1. Biblia kimeuza copy kama 3.9 billioni kwa miaka ya karibuni
2. . Quotations from the Works of Mao TSE-TUNG kimeuza around 800m
3. Harry potter collections Around 400m
4. Lord of the rings Around 100m
5.the Alchemist Around 65m
6. Da Vinci code 57
7. Twilight saga 44
8. Gone with the wind 33
9.think and grow rich 30
10. The diary of Anne frank 27

Ni Ngumu kujua kipi kinasomwa sana hasa hizi age zetu za piracy, naamini 27m ni figure ndogo sana kuwa top 10.
 
Habari za leo marafiki.

Nimekutana na hili swali mahali; kwamba ni kitabu gani kinachosomwa zaidi kuliko vyote duniani na thamani ya ujumbe wake haijawai kushuka?
Ni kile chenye Title isemayo..How Tanzania can teach you to rig election...ambacho pia kimeandikwa nae Mtunzi John Mkemia kutoka huko Geita.
 
Back
Top Bottom