Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww ni pacha wangu kabisaa.....mama zetu wanapenda kutuchimba kweli ili mradi amshe hisia zako tu
 
Ukiwa mlokole halafu uko vizuri kwa bed mwanaume wako lazima ainjoi..[emoji28][emoji28]lkni ukiwa mlokole halafu kwa bed miyeyusho...[emoji28][emoji28]ngoja nicheke tu
Yesu wangu Mimi [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini kila kitu huja kwa kujifunza.
Tunaaswa kutunza na mazoezi tutafanyia ndani hukohuko tukiingia,na si nje[emoji1787]
Kila kitu kinda faida na hasara
Sasa hapo inabidi mtu achague..,hizo sifa mbili hazirandani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unless mtu awe mwepesi kujifunza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww ni pacha wangu kabisaa.....mama zetu wanapenda kutuchimba kweli ili mradi amshe hisia zako tu
Ila kwa akili zangu nadhani alikuwa ananipa tu taarifa maana huyo mwali alikuwa rafiki yangu sana enzi hizo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sipendi kuvaa nguo ya Aina yoyote ile..si ya ndani Wala ya nje.

Sipendi kutembea Basi tu sina namna.

Sipendi kupewa pesa na mpendhi wangu Basi tu ananilazimisha kuzipokea😎
Na hivyo ulivyo ukikaa bila nguo hakuna man anaweza kuacha kuku👀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…