Usiogope taratibu tu utazoea mama, hata mie nilikuwaga super weak but now mie ni moto wa makaa😎! Najua tu tutafanyaje ili ku keep maongezi aliveNipo weak Sana kuongea
Unless niwe nimemzoea Sana mtu.
Nyie kutuchapaga "Invoice" huwa mnaonaga easy ila ikifika round yenu mnajiwahi 😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
MarahabaaMkokaa nakuona dogo
Ni kuzuri wa extrovert Kama wewe.Uswahilini ndio penyewe wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Hujambo dogoMarahabaa
Mimi ni Moto kwa mtu niiyemzoeaUsiogope taratibu tu utazoea mama, hata mie nilikuwaga super weak but now mie ni moto wa makaa[emoji41]! Najua tu tutafanyaje ili ku keep maongezi alive
Kwanini dogoIla huyu Saint Anne inaonekana simu zake zinawahi kuharibika mapema
Okey okey na test mic [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha TU nikiona pesa Moyo wangu unachafukwaaa...kinyamaa[emoji12]
Mhm!Ila we unaandika texts ndefu inaonekana hauna maringo wale kina slay queensKwanini dogo
Itabidi unisimamie kwenye hili.Bado hujaokoka?
Unasubiri Nini?
Usikawie
Wakati ni sasa
Sasa tupo tunapinduana halafu unachomekea story nje ya mada tunaanzaje kuwa romantic... Leta miguno hile hile na sio mazungumzoUtakuwa hauko romantiki jirani..
Sitaki harufu ya mdomo wakoJirani nakupiga chini..unaniwekea kiuzibe kwa kitu ambacho sikipendi[emoji28][emoji28][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Umeutendea uzi hakiHujambo dogo
Ugonjwa wa wanaume huu sio wewe tu, tupo wengiKufanya usafi wa nyumba..kutandika kitanda.kutongoza