Kivuruge girl
Senior Member
- Jan 18, 2018
- 131
- 160
AhsanteHakikisha kwapa lako Ni Safi,yaani umenyoa nywele zilizoota na kuwa Kama uso.Kisha hakikisha unavaa nguo za cotton.Check Kama una kisukari au Kama una umri kuanzia miaka 40 na Ni mwanamke inaweza ikawa Ni dalili ya menopause.Otherwise jasho huwa linaashiria kina activities nyingi zinaendelea mwilini.Kama jasho halitoi harufu sizani Ni Tatizo kubwa Kama ukizingatia kanuni za afya Kama nilivyokushauri
Habari wakuu,
Naombeni ushauri wenu. Ni kitu gani ambacho naweza tumia kufanya nisitoke jasho kwapani.
Jasho linanifanya nakuwa uncomfortable kiasi kwamba nashindwa kuvaa baadhi ya nguo maana nikianza tu safari, ndani ya dk kumi kwapa linaanza kuloa.
Japo na admit, jasho langu halina harufu na deodorant ninayoumia ni nivea.
Mwenye msaada wa kufanya kwapa lisitoe jasho kabisa.
Natangulisha shukrani.
Thanks dearHata hiyo deodorant ya niver ipo inayokufanya usitoke jasho la kwapa imeandikwa nivea anti perspirant dry confidence plus
Ahsante sana my dear, ngoja nifanyie kaziPole.
Tumia ‘Clinical Strength’ antiperspirant deodorant. Neno la msingi hapo ni ‘antiperspirant’. Hizi hupunguza utokwaji wa jasho.
Bofya hapo kwa taarifa zaidi 5 Clinical-Strength Antiperspirants for Your Sweatiest Workouts
Na ukitaka kukomesha kabisa hiyo hali basi tumia pia ‘armpit pads’. Paka antiperspirant deodorant halafu vaa hizo pedi za kwapa.
https://www.walmart.com/ip/Kleinert...8429&wl11=online&wl12=123880192&wl13=&veh=sem
Naweza kununua wapi kwa Dar?Tafuta hizi deodorant,huto sweat na zinatoa weusi makwapani...you'll never regret
Wewe binafsi ulishaitumia? Makwapa yangu yanabadilika rangi sababu ya hizi deodorant, ningependa niijaribu hii iwapo umethibitisha inaondoa weusi. Asante.Tafuta hizi deodorant,huto sweat na zinatoa weusi makwapani...you'll never regret
BuhahahahahahahaWeka poda asee
Dar hii uanze tu kuvaa manguo mawili mawili?Pia jenga tabia ya kuvaa kitu kingine ndani kabla nguo kuu, mfano aina fulani ya fulana au kiblauzi chenye material ya fulana fulana, maana yake ni kwamba jasho linapotoka linaishia kwenye hiyo 'fulana' kabla kutoka au kusikika nje
Yes nina kama miaka 2 natumia,inatoa weusi,ila pia zingatia usafi na ikiwezekana kwa matokeo ya haraka uwe unafanya waxing kwapani.Wewe binafsi ulishaitumia? Makwapa yangu yanabadilika rangi sababu ya hizi deodorant, ningependa niijaribu hii iwapo umethibitisha inaondoa weusi. Asante.