Ni kitu gani ambacho naweza tumia kufanya nisitoke jasho kwapani?

Haiwezekan mkuu kwa hili
 
Nyoa nywele za kwapa, vaa furana au nguo ya ndan na nje vaa nguo nyepesi
 
Kivuruge kumbe unatoka jasho makwapani
 
Toa nywele na wax ..sugua na ndimu..kaa for dk 10-15 osha kwapa lako..au tumia deodorant ya FA ni nzuri mno au hata secret ila ina bei ...
 
Nyoa vizuri, OSHA kwa maji moto alafu kausha then paka limao
 
Hata hiyo deodorant ya niver ipo inayokufanya usitoke jasho la kwapa imeandikwa nivea anti perspirant dry confidence plus
Antiperspirant ziko brand nyingi sana cha muhimu hakikisha kuwa ni original,usidanganyike na bei,ziko za bei kubwa lakini bado hazikai muda mrefu unakuta ndani ya masaa 6 harufu ya kwapa inatokea.

Ushauri wangu ni kuwa anza na stick deodorants halafu harufu ikishapotea taratibu utaanza kutumia antiperspirants za kawaida ambazo sio stick....
 
Stick deodorants, hii ndio ipoje mkuu. Sana sana msaada wa kuzuia jasho sio harufu.
 
Umenikwot wrong
 
Maji ya ugali yaliyolala
Nawa kila asubuhi kwa siku 5

Kisha niretee mrejesho
 
Tafuta na kitu kinachoweza kukusaidia usiwe unakunya.
 
Ushauri wangu kwanza Nenda hospitali inawezeka ni tatizo la ndani la tezi jasho Ku over react , pili jaribu sana kuwa na amani katika akili yako, kaa mbali na misongo ya mawazo, kazi nyingi zilizo na mpangilio,fyeka watu negative ktk maisha yako,meditate na kuwa na amani na mazingira halisi yanayokuzunguka .....I promise utaona matokeo
 
Kwanza hakikisha unanyoa nywele zote kwapani, vinyweleo ndo hutoa jasho. Ukinyoa maranyingi uliponyoa huwa kama pamevimba hivi hapo huziba. Pia tumia deodorant zenye spirit husaidia kukausha kwapa sana
 
Sidhani kama ni ushauri mzuri kutumia madawa/visaidizi kuzuia jasho, yeye Sir God ana maana yake kuweka mifumo yake ya kutoa maji mwilini.

Walau ushauri wa kutumia armpit pads ila sio hizo kemikali (antiperspirant)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…