Ni kitu gani ambacho naweza tumia kufanya nisitoke jasho kwapani?

Fact
 
Kwa jasho ambalo linatoa harufu, ata kama umetoka kuoga dakika 15 zilizopita lakini ukitembea dk 3 tu linatoka na harufu inasikika ??
 
Kila jioni na asubuhi tumia limau kusugua kwapa before kwenda kuoga inakata harufu na utokaji wa jasho baada ya kuoga tumia deodorants stick
 
Njoo nikuuzie Driclor utasahau kama una hilo tatizo,karibu
 
Jasho lazima litoke sababu ya kazi za mwili na mahali pengine hali ya hewa, swala ni kuzuia harufu mbaya.

Hakikisha unakata kichaka alafu piga ndimu usiku kwapani lala nayo asubuhi oga kama kawaida ndani ya wiki harufu inakata hakuna gharama hapo...
 
Paka lemon juice kaa nayo kwa mda
oga paka deodorant

Fanya waxing mara kwa mara
Usiwe na nywele ya kwapa
 
Ukizingatia kunyoa kipara cha kwapa muda wote kama wengi walivyoshauri humu, tatizo litapungua ama kumalizika kabisa.

Hayo mengine sijui ma deodorant ni ziada, cha muhimu ni mnyoo.
 
Tembea huku umenyanyua mikono kama baunsa
 
Habari,

Jipatie sabuni original za shaza kutoka burundi sabuni ambazo hutumiwa na jinsia zote kwa wanawake na wanaume mpaka watoto,pia ni sabuni pekee zitazoweza kukusaidia kuondokana na matatizo ya chunusi,mapele na hata magonjwa ya ngozi ya muda mrefu,husaidia kuiacha ngozi katika hali ya ukavu unaopendeza na kuondoa mafuta mengi usoni.

Nauza sabuni moja kwa elfu 2 tu na pia kwa wale wa jumla nauza kwa box moja shilingi elfu 60. tunapatikana dar es salaam ilala pia tunafanya delivery ndani na nje ya dar es salaam karibuni sana
0659756647
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…