Ni kitu gani ambacho sio muhimu ila ungetamani ukifanye ili kamoyo karidhike tu

Ni kitu gani ambacho sio muhimu ila ungetamani ukifanye ili kamoyo karidhike tu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kwa kweli ndoto yangu ni kuangalia kwenye ile microscope na mimi niwaone wale bacteria, hahahahah.

Naelewa sio muhimu, ila natamani kweli siku moja nimuombe lab technician na mimi nichungulie.
 
Back
Top Bottom