Ni kitu gani bora zaidi ulichokiona kwenye mitandao leo?

Ni kitu gani bora zaidi ulichokiona kwenye mitandao leo?

VinJoe

Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
31
Reaction score
171
Hii imetokea Nigeria.

Mlinzi wa bank alipata ujasiri na kumfikia Meneja wa Benki.

Na kwa ujasiri akamwambia kwamba yeye ni mhitimu na angependa kushiriki katika "Aptitude test" kwa nafasi iliyo wazi.

Boss alikuwa mkarimu sana na akamruhusu kushiriki mtihani.

Kwa kuwa, lilikuwa jaribio la mtandaoni, matokeo yalikuja baada ya jaribio tu.

Guess who was a top?

Yes, exactly.

Mlinzi huyo ndiye alikuwa 'Best Candidate' na akapata kazi hiyo.

“If you have talent, and you know when and how to grab the opportunity, believe me - You're and will always be the hero of your own story.”


Kwangu, hili ndilo jambo bora zaidi nililokutana nalo kwenye Mtandao leo.

Picha inamuonyesha Ijumaa: siku ya mwisho kama mtu wa usalama na
Jumatatu: siku ya kwanza kama banker.

May god bless you all🙏🏽
Keep aiming for the best. ❤️

main-qimg-bf1d812d8c07b25a49ef79ecf07108e1.jpeg
 
Back
Top Bottom