Ni kitu gani hutosahau ulifanya au ulifanyiwa enzi za shule?(sec?)

Siku za weekend tulikuwa tunaiba sana kuku na ndizi za shule, then tunaenda kuvipika nyuma ya mlima ulio karibu na shule.

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
hahahaha

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
 
Adhabu inaitwa Golgota. Mwalimu anakuning'iniza kwenye mlango afu anaendelea kukata pindi. Ole wako ushuke!!

An ant on the move does more than a dozing ox.
mkuu sisi ilikua ni kushika masikio

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu malizia ufaulu wako kwa vituko vyako hapo juu.
 
Humu uenda tunapiga story na wadogo zetu maana Mimi mpaka namaliza Olevel smartphone azikuepo.

Mi nakumbuka usafiri wa magari ya magazeti Dar to Arusha hiyo dah sometimes najiuliza wazazi wangu kwanini mlipenda sana kunipakia kwenye magari ya magazeti maana mwendo ule ni zaidi fighter jets.
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…