Ni kitu gani hutosahau ulifanya au ulifanyiwa enzi za shule?(sec?)


"Kuvunja DIRISHA LA SHULE"
Ila nililipa Milioni kadhaa kama fidia

May Allah bless Me and You
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walikua WANAPAMBANA NA HALI ZAO

May Allah bless Me and You
 
samahan mtoa mada!ulifaulu kwa kiwango gan!yaan nimeona km ndoto!kha!mbn tumbo la mamako lina laana namna hyo!
kweli narudia kusema asante baba na mama kunizaa!mie sikuwa na tabia yyt mby toka shule ya msing mk secondary!nilikua very smart!ila nilikua namuibia chief cooker maandazi form 4 naenda kula na wenzangu!masuala ya mipombe sijui uhun huni gan dah!nahakika BABAANGU ANGENIPIMA MKOJO!
 
Walitaka kukuwahisha akhera
 
Kipindi kile ukiingia form one unaonewa sana na uliowakuta.
Form one ulikuwa huna amani shule.Utapigwa,utateswa .

Daah siku hizi haya mambo hakuna mashuleni,
 
Mi nakumbuka tulikua tunaingia na kitimoto room bila watu kujua chini ya chumba chetu nakumbuka ulikuepo msikiti sasa walikua wanasikia harufu ya mbaya wao halafu hawamuoni sisi juu tulikua tunawachek tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…