ha ha ha ha ha!
nimecheka mpaka nimelia!najiuliza huwa unamfuata kwa nyuma nyuma mkiwa baa?hadi vyoo vya kiume?😀
Wandugu!
Nimeshawishika kuuliza hili,kwasababu ninaamini kila mtu mwenye mwandani wake(bila kujali ni HE/SHE) naamini kuna kitu kimoja au viwili HUWA HAELEWI ELEWI/KINAMSHANGAZA/KINAMTATIZA/KIPO UNIQUE SAANA kwa level ya upeo wake
STARTING WITH GEOFF ME:i don't understand my love because EVERYTIME WE NEED TO MAKE LOVE I MUST ASK!yeye hajawahi kuniambia kwamba she needs to make love!lakini wakati wa love making SHE IS SO CORPERATIVE!mkimaliza hata atashukuru.kesho yake ofisini lazima atakutext ''...meen,you did it well!''....!
mimi tatizo langu ni kwanini ni lazima mimi nimwambie!kwanini yeye asiseme?na nikimwambia at first lazima atakataa kataa kwa kuzuga!...
NAOMBA WADAU,kila mmoja kwa nafasi yake na mahusiano aliyonayo aseme NI KITU GANI HUWA KINAKUSHANGAZA(au pengine unaona ni cha pekee) kwa MWENZI WAKO?
Kweli wanatofautiana sana, mi mpenzi wangu anaomba mpaka kuna wakati naogopa kupokea simu yanahisi ataniomba twende tuka-do!!
eeh!nikimpata kama huyu nadhani nitakufa mapema!maana mimi ni mlevi wa hii kitu
ha ha ha ha!
when it comes to ''DADAAKE X-PIN'' huwa sihitaji mizaha
at least we know you are alive hata kama unamakovu (sorry Goeff off topic)
Hata mi nahitaji muda nitafakuri hili loh!!! zito!!
Hapa mtu mzima ngoja nile kona nisije nikachafua hali ya hewa.
Hahaha! Mambo niliyaweka sawa. Hujaiona intro ya leo? Nilikuahidi ntakueleza kitakachotokea, na nimefanya. (Sore off topic) Hii thread leo mpwa kakamata watu sehemu ya kuendea haja ndogo. Wote wamesepa! LOL!
kama nguli ndo amesepa kabisa.
nimekupa senksi mam'aa!
najuta ni kwanini nimelifikiria hili!
nawasiliana na mods tuifunge hii post!naona watu wamepoteza moods
Iribini hujanieleza please am dying of qriositi.....and tafadhali ambia Goeff asifute hii tread kwa heshima yako....
Ya leo kali, mpaka malijendi wanaingia mitini! LOL!
ZD kachungulia kapotea. Nyamayao, MJ1, nguli, triplets wote wanapita pembeni kama hawaoni! Wapwa kaizer, Sipo, G_Porgie, Burn nk leo utafikiri wameenda likizo. Bwashee leo kakamata watu sehemu za siri. LOL! Hahaha!
mpwaaaaaa!ZD kachungulia kapotea. Nyamayao, MJ1, nguli, triplets wote wanapita pembeni kama hawaoni! Wapwa kaizer, Sipo, G_Porgie, Burn nk leo utafikiri wameenda likizo. Bwashee leo kakamata watu sehemu za siri. LOL! Hahaha!