Ni kitu gani kilipoteza muziki mzuri wa Kenya?

Ni kitu gani kilipoteza muziki mzuri wa Kenya?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Nakumbuka back in 2000s hapa bongo tayari bongo flava ilikuwa imebamba lakini bado tulikuwa tunakita ngoma za Kenya kwasababu zilikuwa za moto si mchezo.

Nakumbuka wasanii waliokuwa wanatoa ngoma kali kina e sir (rip), nonini, nameless, prezzo, nazis, n.k

Enzi hizo hata kwenye awards za channel O zilizokuwa kubwa kwa enzi hizo ninyi ndio mliowakilisha.

What went wrong?
 
Wabongo tulikuwa tunasikiliza mziki wa Kenya na Uganda sababu ya vipindi bomba vya chanel 5, siku hizi hamna tena
 
Kuna kundi lilikua linaitwa Historians na ngoma yao" hey Dj" bonge moja la ngoma
 
Najiuliza miaka hii Josee Chamelion angejulikana kweli?

Sauti ya dhahabu camelion, mtoto wa dhahabu camelion
 
Kenya ilipigwa kick n afropop y west Africa. Hapo ndipo shida imeanzia

Nmeshangaa hat ule mziki wa heart the band ukapotez mashabiki kabisa
 
Back
Top Bottom