Hatujaikimbia Simba... tulichofanya ni kugoma kutoa tiketi ya ndege kwa Simba kama ambavyo tumekuwa tukifanya kwa Azam!! Endapo tungeigia fainali; Simba angekuwa ameshapata uhakika wa 100% kwamba msimu ujao nao wanapanda ndege lakini kwa sasa bado wapo njia panda!!! VPL hawana wataifanya kuisikia tu, FA hawana uhakika!!!Mmeikimbia Simba.
Mungu anawaona mjue!!!!
Sawa mjukuu wa matunge.Hatujaikimbia Simba... tulichofanya ni kugoma kutoa tiketi ya ndege kwa Simba kama ambavyo tumekuwa tukifanya kwa Azam!! Endapo tungeigia fainali; Simba angekuwa ameshapata uhakika wa 100% kwamba msimu ujao nao wanapanda ndege lakini kwa sasa bado wapo njia panda!!! VPL hawana wataifanya kuisikia tu, FA hawana uhakika!!!
Stay tuned na utayaamini haya nisemayo siku mnaondolewa kwa penati na Mbao!!!
Tungempima Hans Van Plujm kama na yeye angekumbana na haya anayoyapata Lwandamina kwa sasa.NImekuwa najiuliza ni kitu gani kiliwatuma viongozi wa Yanga kumpumzisha Puljin na kutuwekea kocha mwingine?
Wakati Yanga wakifundishwa na Puljin tuliona vijana wakicheza mpira wa kitaalamu. Hivi sasa naona wanabutua tuu hawaelewani na kila mchezaji ana cheza anavyo jua yeye. Hakuna tena work. Yaani wamepoteza mvuto ku wangalia. Na kama uongozi hauta shutuma umrudishie Puljin timu mwaka huu tutaangalia uwanja wa ndege kama wasindikizaji wa abiria.