[emoji23]Hata wakenya wakija tanzania huwa wanatushangaa. Eti kwanini Watanzania ni wapole sana. Kwa sababu hayo mambo jenya hayapo. Yani mkenya anapokuja tanzania. The way unavompokea ni tofauti na yy atakavokupokea huko kenya. Huwa wanashangaa sana.Wapandishie bundle utaona balaa lake.
Siai ni watu wa huruma na watu wa kukaribisha sana. Ila majirani zetu ni watu wa hasira sana. Ndo maana nauliza upole kama behavior una faida?[emoji23]. Hata wakenya wakija tanzania huwa wanatushangaa. Eti kwann watanzania ni wapole sana. Kwa sababu hayo mambo jenya hayapo. Yani mkenya anapokuja tanzania. The way unavompokea ni tofauti na yy atakavokupokea huko kenya. Huwa wanashangaa sana